VIDEO WEMA SEPETU AFUNGUKA KUHUSU KUMCHUKIA DIAMOND PLATINUMS,AELEZA MENGI MAZITO

Admin Updates9 years ago6 Views

Sasa tangu mastaa wawili wakubwa hapa bongo, Wema na Diamond Platnumz watemane. Na kila mmoja kwa sasa kaendelea na maisha yake, kwa Diamond Platnumz akiwa na mtoto mmoja huku kwa upande wa Wema akiwa na Boyfriend wake mpya Idris.
Watu wengi wamekua na wamekua wakijiuliza je wanachukiana??? Sasa Wema Sepetu ameamua kuvunja ukimwa na kujibu kama anamchukia Diamond Platnumz au la! Mskie hapa Wema Sepetu akijibu swali hilo.

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.