Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Bi. Harriet Lwakatare akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘NAWEZA NA VODACOM’ inayowaelimisha wateja wake njia mbali mbali za kidijitali za kujihudumia na kutatua matatizo kwa haraka leo makao makuu ya kampuni hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi. Rosalynn Mworia.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Bi. Harriet Lwakatare akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘NAWEZA NA VODACOM’ inayoelimisha wateja njia mbali mbali za kidijitali za kujihudumia na kutatua matatizo kwa haraka iliyofanyika leo makao makuu ya kampuni hiyo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uhusiano na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi. Rosalynn Mworia na Mkuu wa Idara ya ufanisi kwa Wateja, Bi. Najenjwa Mbagga.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2GBUu4A
via