Kazi ya unjezni wa Machinjio ya kisasa ya Vingunguti ukiendelea kwa kasi jijini Dar,ujenzi huo unafanyika usiku na mchana,huku Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda akikesha na kushiriki kwa ukamilifu kumwaga zege kuhakikisha mradi huo muhimu kwa Wakazi wa jiji la Dar na Watanzania kwa ujumla unakimilika mapema iwezekanavyo
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/351iXJq
via


