
Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka- Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera – Geita na Shinyanga
Mhandisi mshauri Thomas Kidane toka kampuni ya SMEC ya Australia akifafanua jambo kwa wahandisi Peter Sikalumba (kushoto), Joyce Mbunju, na Rubara Marandu (kulia) toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), walipokagua ujenzi wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake unaendelea kwa kiwango cha lami.
Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka – Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera – Geita na Shinyanga.from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2LcHOTI
via






