Kwa wanaomfahamu Mahad Nur Gurguurte taarifa ni kwamba kafariki dunia jana katika shambulio la kigaidi la Al-Shabaab katika hoteli moja mjini Kismayu huko Somalia.
Marehemu Mahdi atakumbukwa zaidi kwa biashara za hoteli nchini, ikiwemo ya Paradise Beach ya Bagamoyo kabla ya kuungua, TANSOMA, kiwanda cha uniform na viatu vya viwandani na Supermarket kadhaa.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji’un (ุฅููููุง ูููููู ููุฅูููููุง ุฅููููููู ุฑูุงุฌูุนููููโ) Mola na aiweke Roho yake mahala pema peponi – AMIN
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2jLh5lh
via