Komediani aliyebahatika kuwa maarufu Bongo, Mujuni Silvery ‘Mpoki’ yuko njiani kupandishwa kizimbani kufuatia mastaa waliodai aliwadhalilisha usiku wa Tuzo za Kili kucharuka na kwenda kwa mwanasheria wao, Ijumaa Wikienda lina ishu