Ofisi ya Makamu wa Rais imekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake na kwamba taarifa hiyo haina ukweli