Jamani hamjambo? naona viroho vinawadunda baada ya kuufunua ukurasa huu na kujiuliza leo kombora linaangukia kwa nani? Narudia, sipo kwa ajili ya kuwarusha roho bali mtajirusha wenyewe kutokana na tabia