Haya hii ya leo ngoja niwatobolee siri kidogo tu kwenye upande wa mapenzi. unajua wanawake bwana tupo kama mayai ukiyaminya kidogo tu huwa yanapasuka.. sasa wengi wanaume huwa wanabaki kuropoa