Msanii kutoka pale Usafini, Zuhura Othman ‘Zuchu’ ametupa mchapo mpya kwamba meno ya bandia anayoyabandika mdomoni mwake, yamegharimu takribani shilingi milioni 73. Zuchu ametema exclusive hiyo leo alipokuwa akifanyiwa mahojiano