Baada ya Rais John Magufuli kutengua uteuzi wa Juliet Kairuki, mjadala umeibuka kuhusu kitendo cha mkurugenzi huyo mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kutochukua mshahara tangu mwaka 2013 alipoteuliwa