Mara nyingi naamini matokeo bora ya timu ni mchanganyiko wa uwajibikaji wa wahusika wote kuanzia bodi ,menejimenti ,benchi la ufundi ,wachezaji na wengine mfano mashabiki Mfano kutoka kwa kiongozi