UTEUZI:Rais Samia Suluhu Hassan Ameteua Viongozi Mbalimbali Leo,yupo Mtendaji mkuu wa MSD..Soma Hapa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo 14/04/2022 amefanya uteuzi wa viongozi na watendaji mbalimbali waTaasisi za Umma ikiwepo Bihari kuu ya Dawa ya serikali (MSD)