Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel. Katika mazungumzo hayo, Merkel amempongeza Rais Samia kwa kushika hatamu za Urais nchini Tanzania