Mwanaume mmoja Ndomo Mwandu Mkoani Katavi amemkata mkewe Agnes Sikazwe masikio kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Dhahiri Kidavashari alisema tukio hilo lilitokea Novemba 8