We mwanaume mwenzangu jaribu kufikiri Mara mbili kabla ya kufanya jambo hili. Umetumia zaidi ya mwaka mmoja kuomba mahusiano kwa mwanamke(kutongoza). Alafu baada ya kumvua nguo tu basi unakata mawasiliano