MAPENZI/MAHUSIANO:MDADA ALIYEKWAMBIA KUJUA KUZUNGUSHA KIUNO NDO TIKETI YA KUPATA NDOA KAKUDANGANYA..
Kila mwanamke anavitu vyake alivyojiwekea, ambavyo anataka mwanaume wa ndoto zake awe navyo. Ikitokea akampata Mwenye hivyo vitu basi huona kamaliza kila kitu, anajisahau, anafurahia vile anavyoviona kwa nje na