4 years agoHivi ndivyo Rais Magufuli alivyoingia Masaki Nyumbani kwa Mzee MkapaNi picha kutoka Masaki Dar es salaam nyumbani kwa Marehemu Mzee Mkapa na hivi ndivyo Rais Magufuli alivyowasili kwa ajili ya kutoa salamu za pole na kusaini kitabu cha maombolezo.Read More