Naomba mimi kama Wema Sepetu, nitoe tamko langu rasmi kuhusu hii Sheria mpya iliyopitishwa bungeni. Naongelea Sheria ya cybercrime au cyberbulling. Ukweli ni Kwamba watanzania tunatumia vibaya mitandao ya kijamii.