Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo akiangalia mtambo wa kuchakata kokoto katika ujenzi wa kituo cha Afya cha Makumbusho, walipokuwa na wajumbe wa kamati ya siasa ya CCM