Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala amewaonya wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda wanaoficha sukari na kupandisha bei, akisema watachukuliwa hatua za kisheria. Makala alitoa onyo hilo jana alipotembelea Kiwanda