MLINZI WA HALMASHAURI AUA MAMA MJAMZITO WA MIEZI 9 KWA KUMKABA KOO,WIVU WA MAPENZI WATAJWA KUHUSIKA…
Mlinzi wa usiku katika Ofisi za Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Florence Kazonde amejinyonga baada ya kumuua kikatili kwa kumkaba koo mkewe aliyekuwa na ujauzito