Simba Wajitokeza Kwenye Supu ya Wananchi

Admin Updates1 year ago4 Views

 Leo ikiwa ni ‘Wananchi Supu Day’ ambapo mashabiki wamekusanyika makao makuu ya klabu hiyo Jangwani jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kunywa supu baada ya kupata zawadi ya ng’ombe kwenye ushindi wa mabao 5-1 Yanga ilipoifunga Simba kwenye Ligi Kuu Novemba 5.

Pichani ni mashabiki waliovalia jezi za Simba wakiwa na mashabiki wa Yanga katika tukio hilo.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.