SIMANZI KUBWA MSANII WA BONGO MOVIES AKIRI KUFANYA BIASHARA YA KUBEBA UNGA NA KUWAUZA WASICHANA WENZAKE..MUONE USHANGAE

Admin Updates10 years ago6 Views

Udaku Special Blog: Akihojiwa na Mtandao wa GPL Msanii Lungi
Ameulizwa Maswali Mbali mbali , ambayo yamenishtua kidogo ni haya mawili
hapa chini ambayo amekiri yote kuwahi kuhusika nayo

Ijumaa: Wafanyabiashara wengi hasa wanaokwenda nchi hizo ulizotaja wanadaiwa kufanya biashara ya ‘sembe’. Wewe ushawahi kubeba mzigo?

Lungi: Ukweli nimewahi kubeba unga
na kuwa mfanyabiashara mzuri tu lakini nimeacha kwani niligundua ni
biashara mbaya sana na naomba Mungu anisamehe.

Ijumaa: Unatajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye tabia ya kuwaunganisha wenzako kwa wanaume, hili nalo likoje?

Lungi: Ilikuwa zamani lakini sasa nimeacha, nimeona ni kazi isiyo na manufaa kwangu.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.