Sikukuu ya Eid El- Adh’haa kufanyika Ijumaa,Soma zaidi hapa

Special Correspondent4 years ago6 Views


Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally Mbwana ametangaza kwa umma kuwa sikukuu ya Eid El- Adh’haa itakuwa tarehe 31 Julai 2020, siku ya ijumaa.

Maadhimisho ya sikukuu hiyo kitaifa yatafanyika mkoa wa DSM, ambapo swala ya Eid kitaifa itaswaliwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia saa 1:30 asubuhi na Baraza la Eid litafanyika hapo hapo mara tu baada ya swala hiyo.

Taarifa iliyotolea na katibu Mkuu, Nuhu Jabirinaeleza kuwa kwaniaba ya Baraza kuu la waislamu wa Tanzania, Mufti anawatakia waislamu na wananchi wote sikukuu njema na anawaomba kusherehekea kwa salama na amani huku wakichukua tahahadhari ya kujikinga na ugonjwa wa Corona.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.