‘Chuchu Hans mpaka sasa hivi ana siku ya tano tangu tumempokea na mganga siku zote haruhusiwi kusema kwamba nani alikuja na mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na Mwao Tanzania siruhusiwi kusema wangapi wanahitaji kuja katika chama cha Mapinduzi lakini viashiria vinaonesha wangapi wanahitaji kurudi’– Steve Nyerere
.
‘Kwa hiyo Chuchu Hans kafungua milango kama Mwanamke jasiri kurudi kwa Mama yao na kaamua kurudi kwa Dkt John Pombe Magufuli sasa si dhambi hata kwa hao wengi wakiamua kurudi nyumbani huku hakuna yale maandamano, kwa hiyo ninachotaka kusema ukitaka kuishi kwa Amani cha kwanza kabisa ni lazima ujitambue na ndio maana Chuchu Hans kajitambua’ – Steve Nyerere
‘Lakini mimi nataka niwaambia wasanii wenzangu tusipotoke na hayo yansyokuja ni mchanganuo baada ya wenzetu wakiapishwa maisha mengine yanaendelea isije kutokea tukachukua tukashindwa kufanya kazi zetu huko kwenye kazi za uigizaji naomba nilisisitize hilo’ – Steve Nyerere
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







