SIKIA KAULI YA MSANII AY BAADA YA KUAMBIWA KUWA NA MAHUSIANO NA SITTI MTEMVU NA VICTORIA KIMANI…

Admin Updates10 years ago7 Views

AY na
aliyekuwa mchumba mwenye mchanganyiko wa Yemeni na Shelisheli, kwenye
Red Carpet ya Road to CHOAMVA 2013, Club BillicanasMiongoni mwa watu
maarufu wa Bongo ambao huwa hawapendi kuweka hadharani mahusiano yao ya
kimapenzi ni pamoja na Ambwene Yessaya a.k.a AY. Baada ya kumuweka
hadharani mchumba mpenzi wake 2013, AY amesema kwa sasa yupo single
tena.
Hilo
limefahamika baada ya kubananishwa na paparazi aliyemuuliza kama ni
kweli ameanzisha uhusiano wa kimapenzi na aliyekuwa Miss Tanzania 2014,
Sitti Mtemvu ambaye weekend iliyopita alikuwa miongoni mwa watu
aliowaalika kisiwani Mbudya kula bata, AY alikanusha taarifa hizo.
Sitti Mtemvu
“Pale umekaa au umepita? Aliulizwa (akimaanisha kwa Sitti), na jibu lake lilikuwa “Aah wapi wewe, ntaanzaje kwanza,
kukaa kwa mtu si unakaa tu ukitaka, ukitaka mtu unakaa na unaweza kuwaambia watu umekaa sehemu flani”.
Victoria Kimani
Katika
swali lingine aliulizwa kama ana uhusiano na msanii wa Kenya. “Hivi AY
wewe girlfriend wako yule kabisa kabisa ni Victoria Kimani eeh?” Na jibu
lake lilikuwa “sina…sina mtu sina mtu”

Jibu hilo linamaanisha kuwa staa huyo hayuko tena na yule aliyekuwa mchumba wake mwenye asili ya Yemeni na Shelisheli.
Single Ladies, mzee wa commericial ndo kashaweka wazi status yake ya sasa kuwa yupo single

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.