- Home
-
- Shuhudia hapa Treni ya Abiria ilivyowasili kwa Mara ya Kwanza Baada ya Miaka 30 Mkoani Arusha
Shuhudia hapa Treni ya Abiria ilivyowasili kwa Mara ya Kwanza Baada ya Miaka 30 Mkoani Arusha
Mamia ya wananchi wa Jiji la Arusha, wamejitokeza kuipokea treni ya abiria iliyowasili kwa mara ya kwanza ikitokea Moshi Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kusitisha safari zake zaidi ya miaka 30 iliyopita.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News