
Mwanadada Sarah ambae ni mpenzi wa mwanamuziki Harmonize anasemekana kuwa katika hali ya ujauzito na ndo maana mwanadada huyo kwa sasa amekuwa haonekani sana katika mitandao ya kijamii mara kwa mara.
Mwanadada huyo ambae anasemekana kuwa hali yake ya ujauzito umekuwa ikimfanya kuwa mbali na mitandao kwa sasa na hata kuamua kurudi kwanza nyumbani kwa ajli ya kujiangalia kutokana na hali yake.
Iliwah kusemnekana kuwa mwanadada huyo na mpezni wake kuwa wameachana lakini Harmonize alikanusha taarifa hizo na kusema kuwa aliamua kwenda nyumbani mara moja lakini atarudi.
sarah na harmonize wamekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu na hata mfanikio ya mahusiano yao ni pamoja na mtoto wanaemtarajia sasa hivi,
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






