Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Rais wa FIFA Gianni Infantino amedai kuwa Kombe la Dunia 2022 ndio bora kuwahi kutokea. Idadi ya watazamaji kupitia televisheni toka pande mbalimbali za dunia imevunja rekodi na hii inaonyesha umaarufu wa shindano hili hadi sasa. KIMATAIFA MICHEZO