Rais Samia Afunguka Kuhusu Kifo Cha Ali Kibao, Ataka Uchunguzi wa Kina

Admin Updates9 months ago5 Views

 

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amegiza Vyombo vya Uchunguzi kumpatia taarifa ya kina haraka kuhusu tukio baya la mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA Ali Kibao na mengine ya namna hiyo.
Rais Samia amesema “Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana haki ya kuishi, Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii”
“Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao, natoa pole kwa Viongozi wa Chama hicho, Familia ya Mzee Kibao, Ndugu, Jamaa na Marafiki
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.