PICHA: VANESSA MDEE NA JUX WADHIHIRISHA MAHABA MAZITO AFRIKA KUSINI..CHEKI MAMBO YAO HAPA

Admin Updates10 years ago6 Views

Vanessa Mdee na Jux wote wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kufanya
video ambayo hata hivyo hawajasema ni ya wimbo gani na kwa mujibu wa
picha wanazopost kwenye mitandao ya kijamii, wawili hao wanapeana
kampani ya nguvu.

Hawajawahi kukubali hadharani kuwa ni wapenzi lakini picha zinaonesha wazi kuwa mastaa hao wapo kwenye dimbwi zito la mapenzi.

Kupromote wimbo wake mpya ‘Nikuite Nani’, Jux amepost picha akiwa na
hitmaker huyo wa ‘Hawajui’ anayeonekana ‘akimchumu’ kwenye paji la uso.

Kabla ya picha hiyo, Jux alipost nyingine kadhaa akiwa na mrembo huyo katika pozi ambalo huwezi kuuliza kama ni marafiki tu.!

Hivi karibuni Vanessa Mdee aliiambia Bongo5 kuhusu uhusiano wake na Jux:
I actually I like to keep my private life private. Nadhani kuna baadhi
ya mambo ambayo hayahitaji majibu.”

Jux na Vanessa wameongozana na Weusi na Navy Kenzo kwenye safari hiyo ya South.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.