Diamond na Zari Hassan wamemuonesha mtoto wao Latiffah kwa mara ya kwanza Jumapili hii.Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz aliyezaa na mpenzi wake wa Uganda, Zari the Bosslady ni kama photocopy ya sura ya baba yake.
Tiffah
Mastaa hao wamesherehekea siku 40 tangu kuzaliwa kwa mtoto huyo maarufu kwa kualika marafiki na watu wa karibu kwenye hafla iliyofanyika kwenye makazi yao, wanayoyaita State House..

Mastaa mbalimbali wamehudhuria hafla hiyo ya kumtoa hadharani kwa mara ya kwanza mtoto huyo maarufu.
Akiongea kwenye kipindi cha EFM Uhondo kinachoendeshwa na mtangazaji wa zamani wa Clouds FM, Dina Marious, hivi karibuni Diamond alisema hana shaka kuwa Tiffah ni damu yake kukanusha tetesi zilizokuwa zimeenea kuwa huenda akawa si mwanae. Picha za mtoto huyo zimethibitisha ukweli huo.

Kaka wa Zari, Williams Bugeme akiwa na Tiffa
âUnajua mtoto kama si wako ni rahisi tu kujua. Na unajua mzazi anakuwa mtu wa kwanza kugundua kama mtoto si wako,â alisema Diamond. âTena wazazi wetu wa Kiswahili wanakuaga sijui na machale gani akiona kama anasema âbaba copy sio yako.â
âYaani Latti ukimuona kabisa utasema âhuyo Platnumzâ.
Hizi ni comments za baadhi ya watu walioandika kwenye picha nyingine ya Tiffah aliyoiweka Zari kwenye ukurasa wake wa Facebook:
Vero James: Copy and paste of Diamond Platnumz Fans â face. Congrats bro.
Haulah HK: This kid resembles Diamond Platnumz for real..awuchhii. eyes fr zari tho

Melvo Precious: She really resembles Diamond wah!!
Ampeire Mercy: Confirmed. Looks of DP.
Betty Stella Mwende: Thatâs diamondâs photocopy right thereâŠcutest
Norah Nkutu Kimbowa: Photo copy of her dad eeee!!!
Acronius Rweyendera: Hahahaaaa Photocopy diamond pure no comment nimekubali diamond umejizaa kbisa
Rahmahh Bugembe Kyeyune: Bby tiffa resembles his dad diamond thanks auntie zarieh
Namubiru Frank Firebase: Dis is Diamond for real,,,,, eeeh omwana afanana kitaawe
Jackline Muloki: Wow!! Like dad like daughter!! Shame on you all heaterâs
Kiconco Judyth: Diamondz lips photocopy
Wanja Mishka: diamonds photocopy so haters please zip your mouths and throw the key to the deept of the sea
Barbara Mubiru: She is the carbon copy of her father. God bless her.
Kenzy B Ellieâs: Mum Papaâs carbon copy. Cute
Rena Ray Wandy: Photocopy of diamond kabisa,She took his lips ka sweet
Diamond aliwahi kudai kuwa anapenda kuongeza mtoto wa pili. âMimi natamani kuwa na watoto wawili,â alisema. âNa yeye pia [Zari] akasema âLatti akishakua kidogo tutafute mtoto mwingine, tumalize shughuliâ, nikamwambia basi yaani hapo utakuwa umeniteka mazima mazima.â
Kuhusu ndoa, Diamond alisema ni kitu kinachoweza kufanyika mapema. âSijaona bado kuna kitu gani ambacho kitanifanya nichelewe.â

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33