Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika
mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana mchana, kuhusu muafaka
uliofikiwa kufuatia mgomo wa madereva uliofanyika ofisi ya waziri mkuu
kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali.

Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maafikiano hayo.
Na Dotto Mwaibale
MKUU
wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda amesema Serikali imetimiza masharti
ya madereva kwa kuunda kamati ya kushughulikia kero na matatizo ya
madereva ambayo inatarajia kuanza kazi yake Ijumaa.

Hatua
hiyo imekuja baada ya madereva hao kufanya mgomo kwa muda ukiwa na
lengo la kushinikiza kutatuliwa kwa madai yao mbalimbali yakiwemo ya
kimikataba baina yao na wamiliki wao.

Akizungumza
na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana mchana, Makonda alisema
kamati hiyo itakuwa ya kudumu ambayo itakuwa ikishughulikia kero na
matatizo ya barabarani nchini. Alisema kamati hiyo ambayo itaongozwa na
Katibu Mkuu wa Wizara Uchukuzi, Dk.Shabaan Mwinjaka itakuwa na wajumbe
mbalimbali kutoka akiwemo Katibu Mkuu Wizara ya Kazi na Ajira, Katibu
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wawakilishi watatu kutoka Chama cha
Wamiliki wa Mabasi ya Tanzania (Taboa) na Kakoa, Kamanda wa Jeshi la
Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na washiriki watano kutoka chama
cha madereva nchini.

Makonda
alisema lengo la kuteua wajumbe kutoka Serikalini na taasisi hizo ni
kutokana na uwepo wa uhusiano mkubwa kati yao na madereva hao. “Watu
hawa wataweza kushirikiana vema na kutatua kero hizi kutokana na wao
katika shughuli zao zinahusiana moja kwa moja hivyo kuweza kuendesha
kamati hii vizuri.

“Tunataka
watu kushughulikia jambo kabla halijakuwa tatizo hivyo kamati hii
itakuwa ikikutana mara kwa mara katika kushughulikia maswala mbalimbali
kuhusiana na madereva na barabara kwa ujumla ili kuondoa kero mbalimbali
,” alisema Makonda.

Baadhi
ya agenda zitakazo fanyiwakazi mara baada ya kamati hiyo kuanza kazi ni
pamoja na madai ya madereva hao likiwemo la mikataba ambayo inadaiwa
kuwa yanamuda wa miaka kumi, kutokuwa na utaratibu wa kuwalipa madereva
hata wakipatwa na matatizo.

Alitaja
agenda nyingine ni za faini sizizo za mpangilio wanazotozwa madereva
hao wakiwa kwenye shughuli zao, suala la kurudi shuleni kila
wanapohitaji kurinyu leseni zao na kukaa kwenye mizani kwa muda mrefu
pamoja na taratibu nyingine ambazo zinakuwa kero katika shughuli zao.

alisema wakati walipowasili Ofisi ya Waziri Mkuu, walikuta wawakilishi
kutoka Wizara ya Uchukuzi, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na
Majini (Sumatra), Taboa, Kakoa, Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, Wizara
ya Kazi na Ajira, ambapo walikaa na kukubaliana kuunda kamati hiyo.

Alisema
pamoja na uwamuzi huo wa kuunda kamati hiyo Serikali haitachagua wala
kuteua wawakilishi kutoka upande wa madereva ili kuwapa fursa madereva
hao kuweza kuwachagua watu ambao wanaaamini zaidi.

Kutokana
na uwamuzi huo wa kuundwa kwa kamati hiyo ya kudumu Makonda alisema
hakutakuwa na mgomo tena kwani kamati hiyo itaweza kidhi mahitaji ya
kila upande kwa makubaliano ya wajumbe wake.

“Leo,
asubuhi kama nilivyo waahidi madereva tulikwenda na wawakilishi waio
wakiwemo viongozi wao hadi kwa Waziri Mkuu ili kuangalia kama yale
tuliyo yahitaji jana yametekelezwa na hapo tuliweza kupata muafaka na
kuunda kamati hiyo.

“Hivyo
kuanzia sasa hakutakuwa na mgomo na hatutakuwa na mgomo tena kwani
madai yaetu tunaimani yatafanyiwa kazi ipasavyo.Na ndio maana tukatoa
nafasi kwa madereva kuwa na wajumbe wengi zai ili kuwa na nguvu zaidi
kuliko wajumbe wengine katika kutatua kero zao,” alisema makonda.

alisema kuwa lengo la kuundwa kwa kamati hiyo si kumaliza tatizo hilo
bali ni kuzima moto wa milele kwenye kero za madereva wote nchini.

Akizungumzia
kuhusu baadhi ya viongozi wakiwemo wanasiasa wanaotumia migogoro kama
fursa ya kutafuta umaarufu Makonda alisema si jambo jema na kuwataka
viongozi hao hususani vijana kujifikiria kutoa msaada katika jamii na si
kutafuta umaarufu.

“Niwaombe
tu vijana wenzangu najua wazee hawatobadilika na badala yake
watuangalie vijana tunavyofanya kazi hivyo tuhakikishe kutokuwa kikwazo
kwa mwenzake kwa kugeuza kila anachofanya mwenzake ni jambo baya,”
alisema Makonda.