NOMAAA:MUONE HUYU BINTI WA MSANII KAJALA, PAULA ANAZIDI KUWA MREMBO ZAIDI, CHECK PICHA ZAKE HAPA

Admin Updates10 years ago5 Views

STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo
Mtoto wa  msanii
wa filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja, Paula Paul
ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaoneka amekuwa binti mkubwa  na
mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa mkubwa kwa upande wa Bongo
Movie, baba yake , P. Funk  aka Majani pia ni mtayarishaji wa music
mkongwe na mwenye mafanikia makubwa kwenye upande wa Bongo Flava. Paula
japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake ya kuwa karibu sana na mama
yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na ajulikane sio tu mastaa wengi bali
hadi kwa jamii kwa ujumla…..Tunaamini huyu nae atakuwa staa wa kesho
….Zicheki badhi ya picha  zake hapo chini…
STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo 1

STAA WA KESHO: Binti wa Msanii Kajala, Paula Azidi Kuwa Mrembo 2

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.