- Home
-
- NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA BARA
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA MIAKA 58 YA UHURU WA TANZANIA BARA
Bendi maarufu ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band almaarufu FFU-Ughaibuni yenye makao nchini Ujerumani,inawatakia kila la heri katika kusherehekea miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania bara . Salam hizi za heri ya 9 Disemba ziwafikie watanzania wote walio nyumbani na nje ya nchi.Ngoma Africa band chini ya uongozi wake Kamanda ras Makunja unaweza kuwasikiliza pia katika kambi yao ya FFU-ughaibuni bofya http://www.ffacebook.com/ngomaafricaband
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2saJy7K
via
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News