Msanii wa bongo Fleva anayetamba sasa kwa kibao chake cha siwezi,Baraka da Prince amepata kashfa ya kumzalisha binti wa miaka wa 19 aishie Iringa aliyejitambulisha kwa jina la Candy kisha kumtelekeza mtoto huyo.
Akiongea na redio moja binti huyo amedai mtoto wake na Baraka da Prince ana mwezi mmoja na nusu ambapo alimzaa kwa kwa opresheni mwezi wa Desemba mwaka Jana.baraka
Binti huyo amedai kuwa alianza mahusiano na baraka da Prince wakati alipoenda Iringa kipindi baba yake anafanya kazi huko na badaaye wakakubaliana aje Dar ambapo wakawa wanaishi wote mpaka binti alipopata ujauzito na kurudi Iringa kwenda kulea ujauzito huo.
Candy akaendelea kusema kuwa baada ya yeye kurudi Iringa hakupata matunzo yoyote kutoka Baraka da Prince hata alipojifungua.Binti anasema kila akijaribu kumtafuta Baraka kwenye simu hudai yuko bize na mara nyingine humtolea maneno ya kuudhi.
Candy amedai kuwa ana ushahidi wa picha kadhaa za Baraka da Prince na mtoto na juzi tu Baraka alivyoenda kufanya show alienda kuwaona na kutoa ahadi kibao lakini mambo yamebaki vile vile hakuna matunzo yoyote.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






