AY ameamua kujipa mapumziko marefu ya kutokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Rapper huyo alikiambia kipindi cha Mlimanidotcom cha Mlimani TV kuwa ana
mwaka mmoja na nusu sasa bila kuwa kwenye uhusiano wowote.
“Sasa hivi nimeingia kwenye break karibia mwaka mmoja na nusu,” alisema AY.
“Kila mtu ana uamuzi wake na kila mtu ana mipango yake katika maisha
so kwa upande wangu nimeona nifocus sana kwenye kazi na ndio maana
mnaona matokeo ya kazi inavyofanyika. Sometimes vitu kama hivyo
vinakusogeza mbele, sometimes inaweza ikakudiscourage uwaka slow katika
kazi zako. Ikitokea imetokea ila sasa hivi nipo kama baiskeli.”
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







