Msichana aliyetajwa kwa jina la Abbie Bartlett, wa Ibiza Hispania, amewashangaza wengi baada ya kumvalisha mpenzi wake Leon Connolly fulana maalum yenye ujumbe unaowaponda wasichana wengine na kumsifia yeye kwa lengo la kujihami na wezi wa penzi lao.Abbie alifanya hivyo baada ya kuona kuwa mpenzi wake anataka kusafiri na kwamba wangekuwa mbali kwa muda mrefu hivyo alitaka maandishi pekee yawe ujumbe wa kutosha.
Nampenda mpenzi wangu Abbie, nawachukia wasichana wa Ibiza, kwa hiyo tafadhali kaa mbali na mimi.
Picha ya mpenzi wake akiwa amevaa fulana hiyo ilisambaa haraka kwenye mitandao ya kijamii hali iliyomfanya msichana huyo kuogopa akiamini kuna wasichana wangetaka kumchallenge kwa kumchukua makusudi mpenzi wake.Nilipoenda kuchapisha fulana hiyo na kuelezea nilichotaka naapa waliona nilikuwa mwehu.
Msichana huyo aliimbia North News.
Kwa upande wa Leon yeye alidhani mpenzi wake anatania lakini baadae aligundua yuko serious na anakiri baada ya kuvaa anaona ni poa tu.
Mwanzo nilijiuliza yuko serious? Alitaka niivae nikienda kwenye club zote kubwa kama Pacha n.k. Lakini sasa hivi ninaichukulia kama utani na nimefurahishwa vya kutosha kuendana nayo. Hivyo ndivyo uhusiano wetu unavyokwenda… Watu wanasema kuvaa fulana hiyo inaweza kuwavutia zaidi wasichana kufanya challenge. Nimekuwa nikicheka kuhusu hilo, Abbie ni msichana pekee kwangu na wote tunalifahamu hilo.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








