Pichani ni moja ya Picha ya kukata (Sreenshot) ya ukurasa wa Mtandao wa kijamii wa Instagram wa mmoja wa wauza saa Nchini ikiwaonyesha wanasiasa Vijana Nchini walipohudhuria uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Taifa uliofanyika 28/08/2025 viwanja vya Tanganyika Packers -Kawe Jijini Dar es Salaam ambao uzinduzi huo Ulioongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea wa Urais Kupitia CCM Dkt Samia Suluhu Hassan,ambapo nao pia ni wagombea Ubunge kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi katika majimbo mawili tofauti na hawa ni Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga Jijini Dar es Salaam (Ndg.Jerry Silaa) na Mgombea Ubunge jimbo la Mtumba Jijini Dodoma (Ndg.Anthony Mavunde)
Ikumbukwe Jerry Silaa na Anthony Mavunde ni Moja ya Viongozi makini walioshika nyadhifa mbalimbali katika serikali ya Mhe Dkt Samia ambapo pia wao ni Moja ya viongozi waliowahi kupitia Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa.
Masama Blog inawatakia kila la Heri Viongozi hawa kuelekea kampeni Majimboni mwao kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani Utakaofanyika tarehe 29/10/2025.
SOMA HIZI:
STAMICO yakabidhiwa Leseni Kubwa ya Utafiti na Uchimbaji Madini adimu Morogoro
Jerry Silaa achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Ukonga
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






