MSIKILIZE WEMA SEPETU AKIFUNGUKA JUU YA MAHUSIANO YAKE YA KIMAPENZI KWA SASA…

Admin Updates10 years ago5 Views

Wema Sepetu amechoka uhusiano wa boyfriend na girlfriend. Muigizaji hiyo wa filamu amesema anataka kuolewa.

Wema alisema hayo jana kwenye reality show yake, In My Shoes baada ya
meneja wake Martin Kadinda kumuuliza kwanini hana ‘kiki’ kwa sasa.


Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 alisema kuna vitu vingi anataka kuvifanya ikiwemo kuwa na hamu ya kutulia na kuwa mke wa mtu.
Hata hivyo Wema alisita kumweka wazi mwanaume anayetaka kumweka ndani na kumtaka meneja wake kuwa na subira

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.