Shabiki anayeitwa Rahma_Rahyuuh Alifunguka Hivi:
“Ila we Sinta una Dhambi sana–yan Hakuna Mwanamke wa Diamond Baada
ya Wema Ambae hukuwa ukijipendekeza nae ‘ we mwanamke unajua na haya
hayana mmoja! Mungu tunaemuabudu ni mmoja na @wemasepetu nae mtu !
Ohhoo–Muumuze tu lakini aibu itakurudia mwenyewe“
Sintah Naye Akafunguka Hivi:
Kuna watu hawawezi kumaliza siku bila kunitaja jina langu tena kwa
herufi kubwa bila hata aibu , sasa mimi ninajipendekeza kwa wanawake wa
Diamond wanisaidie nini kwa mfano? wao wana nini na mimi nina nini?
Narudia tena mie ni blogger n aweka kila jambo linalo husu mastaa, na
huyo Zari mie nimemjua leo?? angalia calender yako vizuri labda
unatumia za Ethiopia kuwa updated isitoshe labda wewe ndio unamuona zari
ni malkia wako to me ni kawaida sana coz she is bin a friend ever since
sio yeye tu familia yake nzima
halafu siwezi kumchagulia mtu maisha yeye kama anaamua kuwa Dimondo
awe shemeji yangu kila la kheri kama ni Ivan sawaa yeye ndio anajua yupi
mzuri kwake mimi sivai viatu vyake kujua maumivu gani anayapata ” Sinta
Je wewe Msomaji Una Maoni Gani Kuhusu Hilo?