
Msanii wa hip hop nchini kutoka katika Kundi la Weusi Nickson Simon maarufu kama Nikki wa pili amefunguka na kuweka wazi Jinsi alivyokutana na Mpenzi Wake Joan ambaye Wiki iliyopita alimvisha pete ya uchumba.
Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la Risasi Jumamosi, Nikki aliweka wazi kuwa alikutana na mchumba’ke huyo kwenye kongamano la ujasiriamali lililofanyika katika Ukumbi wa Millenium Tower, Kijitonyama jijini Dar.

Wakati tunatoka kwenye kongamano ndipo nikamuona mtoto, nikamuomba namba huku nikijisemea mwenyewe huyu mtoto simuachi ni wa kumweka ndani kwa sababu alikuwa na vigezo vya mwanamke wa ndoto zangu”.
Nikki wa Pili amesema yeye na Mpenzi Wake wanatarajia kufunga ndoa mwakani mwaka 2019 Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka kadhaa ambapo Mpenzi Wake amemaliza elimu yake ya chuo kikuu miezi michache iliyopita.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






