MSANII MKUBWA AFUNGUKA:ASEMA HAKUNA STAA MWENYEUMBO ZURI KAMA MIMI..MUONE HAPA UMPE MAKSI ZAKE

Admin Updates10 years ago141 Views


MZAZI mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza
Ally amesema kuwa hakuna staa yeyote hapa Bongo mwenye figa kama yake ya
kuweza kuvaa ‘bikini’ na kujiachia kama yeye.


Mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally.



Akifunguka na Centre Spread, Faiza alisema kuwa wapo mastaa wengi
wembamba lakini maumbo yao hayana mvuto hasa wakivaa bikini huku
akitolea mfano wa Nancy Sumari na Jacqueline Patrick.


“Ukitaka kujua kama una umbo zuri tena la kimataifa wewe jaribu kuvaa
bikini uone, ndiyo utajijua ni mrembo kiasi gani. Najitambua navutia
kiasi gani nikivaa bikini,” alisema Faiza. 

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.