MSANII MADONNA KUZUNGUKA DUNIA NZIMA..SIKILIZA HAPA NCHI ATAKAZOTEMBELEA

Admin Updates10 years ago6 Views

madonnnMwanamuziki
Madonna Louise ni miongoni mwa mastaa barani Ulaya wanaofanya vizuri
katika kazi zao za kimuziki na kujikuta akitumia taaluma yake vyema
katika kujiongezea kipato.


Tayari mwanamuziki huyo mwenye umti wa miaka 56
amejiwekea malengo ya kufanya ziara ya kuzunguka dunia nzima mwakani
jambo ambalo hakuwahi kulifanya katika maisha yake ya muzuki.


Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni pamoja na kusherehekea kutimiza miaka 30 kwa albamu yake ya ‘Like a Virgin’ aliyoitengeneza mwaka 1985 na sasa inatimiza miaka 30 kwa mafanikio makubwa sambamba na maandalizi ya albamu nyingine mpya.


“Hii itakua tuu muhimu sana na ya aina yake,Madona
anatamani kuhakikisha albamu yake itakayotimiza miaka 30 inaonekana
duniani kote”


Alisma kama alivyofanya katika ziara ya albamu yake ya
MDNA katika nchi za Afrika Kusini,Ulaya na Asia sasa atatamani kuona
albam hii inawafikia watu wote dunia wakati akifanya ziara hiyo.


Mpaka sasa tayari ana ziara nane ambazo anatakiwa
kuzifanya na amejipanga kuhakikisha mwakani anatimiza malengo yake
muhimu katika doto alizojiwekea.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.