MSANII JB AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MKE WAKE..MSIKIE HAPA ALICHOSEMA

Admin Updates10 years ago5 Views

Mwigizaji na mwogozaji wa filamu za hapa
bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka ya moyoni  juu ya upendo wake kwa
mke wake na kuendelea kudumisha ndoa yao.


JB tofauti na mastaa wengi wa hapa
bongo, amemuweka na kumwambia waziwazi mke wake wa ndoa maneno  ya
upendo ambayo huwafanya mashabiki wake wote kkujua na kumtambua shemeji
yao au wifi yao.


JB leo hii ameweka picha hiyo mtandaoni akiwa na mke wake na kuandika maneno haya;

“Mke wangu,rafiki yangu, nampenda sanaa.
Siku kama ya leo tuliingia kanisani tukatoa kiapo cha maisha,hakuna
kilicho badilika wala kitakacho badilika mpaka kifo kitakapo
tutenganisha. NAKUPENDA SANA MKEWANGU,Mungu azidi kuibariki ndoa yetu”.
JB alimaliza.


Tunakupongeza JB kwakuendelea kuheshimu na kuitunza ndoa yako, tunawatakia baraka katika maisha yenu.
~Bongomovies

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.