Msanii wa Filamu nchini, Wastara Juma amesema kuwa watu wasikariri kuwa yeye ni mtu kuwa katika mahusiano vibenteni zaidi ya aliyekuwa mpenzi wake Bond Bin Sinan.
Wastara amesema kuwa yeye anapenda mtu amzidi mwaka mmoja ikiwa miaka miwili iwe kwa bahati mbaya.
“Sijawahi kuwa na Kibenteni zaidi ya Bond Bin Sinan na yeye pia amenizidi mimi miaka miwili amezaliwa 81 mimi nimezaliwa 83 kwahiyo naweza sema muonekano wangu wa mwili unaniponza lakini sinaga mahusiano ya namna hii,” Wastara ameiambia EATV.
“Mimi napenda mtu anizidi na nikimzidi uwe mwaka mmoja miaka miwili tena kwa bahati mbaya yaani imetokea tokea tu tumekutana kwenye mahusiano kama ilivyokuwa kwa Sajuki hayakuwa rasmi lakini yalikuja kutengeneza mpaka ndoa.”
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





