Mbunge wa Chalinze na mdau mkubwa wa sanaa na michezo nchini Ridhiwani Kikwete ameshindwa kujizuia na kuweka wazi mahaba yake kwa ngoma mpya ya Belle 9 iliyozinduliwa mwishoni mwa wiki ya ‘GIVE IT TO ME’.
Ridhiwani ambaye alikuwa ni miongoni mwa wadau waliohudhuria uzinduzi huo alizungumza na eNewz ya EATV na kusema kuwa anapongeza sana Belle 9 kwa hatua hiyo video ni kali sana na yeye kama mbunge na kijana huwa anapenda kushirikiana na vijana wenzake ili kuweza kukuza sanaa yetu.
“Niliona kwenye page yake ya instagram akiwa Afrika ya Kusini kwa ajili ya ku’shoot’ video yake na kuwasiliana naye kuwa akirudi tuonane na kweli aliporudi tulikaa tukaongea akaniomba sehemu pale nyumbani afanyie huo uzinduzi nikampatia ndiyo kama unavyoona “
Pia aliongeza kwa kusema kwamba kitu kikubwa ambacho kimemvutia sana katika video hiyo ni jinsi alivyotembea na “beat” ya wimbo huo pamoja na ile sehemu jinsi anavyojitoa kwa mpenzi wake.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





