Mhandisi Victor Seff na wataalamu wa Benki ya Dunia wakagua ujenzi wa barabara ya Kilolo – Iringa

Admin Updates11 months ago7 Views

 

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor H. Seff leo tarehe 02/07/2024 ameshiriki katika ukaguzi wa mradi wa Ujenzi wa barabara ya Iringa – Kilolo akiambatana na TANROADS na ujumbe wa Benki ya Dunia. 

Mradi huo ni sehemu ya Mradi wa uboreshaji wa barabara vijijini na ufunguaji wa fursa za kiuchumi na kijamii unaotekelezwa na TARURA na TANROADS.

Ujumbe huo wa Benki ya Dunia unatembelea Miradi ya RISE kuona kama utekelezaji wake unaendelea kulingana na Mpango wa utekelezaji uliokubalika na kuona changamoto katika utekelezaji kama zipo. 

Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Iringa (Ipogolo)-Kilolo (33.61) kwa kiwango cha lami unaotekelezwa na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na Mkandarasi China Henan Engineering Company.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.