
Mgombea wa CCM Ruangwa aandika haya Kuelekea uzinduzi wa Kampeni za CCM Kitaifa
“Leo ni Uzinduzi wa Kampeni za CCM, Viwanja vya Tanganyika Parkers, DSM, Mgeni Rasmi ni Mhe Dr Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti Taifa CCM, Rais wa JMT na mgombea wa Urais wa JMT. Usikose, Karibuni sana na nawaomba watanzania wote Kupiga Kura Zote za ndio Kwa Rais Samia tar 29/10/2025”
Kaspar Kaspar Mmmuya – Mgombea Ubunge Jimbo la Ruangwa – CCM






